• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi ya Mabingwa Afrika: Zahera awafunda Zesco

    (GMT+08:00) 2019-09-02 08:46:41
    Zikiwa zimebaki wiki mbili kabla ya kukutana, kocha wa klabu ya Yanga ya Tanzania, Mwinyi Zahera amesema hata kama ligi kuu ya Zambia ni bora na nchi hiyo iko juu kwenye viwango vya soka duniani zaidi ya Tanzania, hilo haliwafanyi waingie kinyonge uwanjani kuivaa Zesco ya Zambia.

    Yanga itaikaribisha Zesco United katika mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika utakaopigwa Septemba 14 uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam. Endapo Yanga itashinda mechi zote mbili nyumbani na ugenini dhidi ya timu hiyo, itatinga moka kwa moja hatua ya makundi ya ligi hiyo.

    Zahera amesema, kama Simba waliichapa Al Ahly ya Misri, AS Vita ya DR Congo na JS Saoura ya Algeria, haoni kwanini Zesco waibuke wababe mbele yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako