• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakenya wanyakua dhahabu mbili michuano ya dunia inayoendelea Korea Kusini

    (GMT+08:00) 2019-09-02 08:47:00
    Kenya imefanikiwa kupata medali mbili za dhahabu na tatu za shaba siku ya kwanza ya michuano ya mwaka huu ya dunia inayofanyika mjini Chungju Korea Kusini.

    Timu ya Kenya inayojulikana kama Jasiri, imenyakua medali yake ya kwanza ya dhahabu kwenye kitengo cha Sparring kwa wanaume wa zaidi ya uzani wa kilo 90 ambapo Gordon Ochieng alifanikiwa kumshinda Ki Hoon wa Korea Kusini kwa 3-2.

    Lona Apiyo Abiero ameipatia Kenya medali ya pili ya dhahabu kwenye kitengo cha Sparring kwa wanawake kwa uzani wa chini ya kilo 65 baada ya kumnyuka Nattakarn Khamsopmpond wa Thailand kwa 5-4.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako