• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China akitaka Chama cha Msalaba Mwekundu cha China kutoa mchango zaidi

  (GMT+08:00) 2019-09-02 17:03:37

  Rais Xi Jinping wa China amewataka wanachama wa Chama cha Msalaba Mwekundu cha China RCSC waonyeshe moyo wa kibinadamu, mapenzi kwa wote na wa kujitolea, kufanya mageuzi na uvumbuzi, kufanya kazi kwa bidii na kutoa mchango mpya zaidi kwa ajili ya maendeleo ya shughuli za msalaba mwekundu.

  Rais Xi ametoa kauli hiyo alipokutana na wajumbe wa wanachama walioshiriki kwenye mkutano mkuu wa 11 wa Chama cha Msalaba Mwekundu cha China uliofunguliwa leo hapa Beijing.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako