Wanasema hii inaweza kufanywa kwa kuwapa soko la mtaji na la kuaminika
Wakizungumza wakati wa mkutano wa siku mbili, wafanyabiashara, wamiliki wa mitambo ya kusindika na wadau wengine wamesema nchi ina ardhi yenye rutuba, lakini wakulima wamepoteza mtaji na uhakika wa soko.
Bwana Salumu Ismail, katibu mkuu wa Chama cha Wakulima cha muhogo anaitaka serikali ipe wakulima wadogo motisha ambayo itawachochea kuongeza tija.
Pia wataka serikali kudhibiti bei ya mazao ya chakula ili kuhakikisha faida ya wakulima na uzalishaji unakua.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |