• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya inaanglia kufungiwa nje katika masoko ya Australia

    (GMT+08:00) 2019-09-02 19:39:25
    Maua yaliyokatwa ya Kenya yanaweza kufungiwa nje katika masoko ya Australia kwani Canberra inaenda kutekeleza hatua mpya.

    Idara ya Kilimo ya Australia imesema kuwa hakutakuwa nakuongezwa kwa muda.

    Sasa, kuna hofu kati ya wazalishaji na wauzaji kuwa Umoja wa Ulaya unaweza kukopi kile Australia.

    Mamlaka ya Australia ilianzisha kanuni hizo mnamo Machi 2018, na ikapea walengwa wakati wa kufuata, kupanua muda wa kuanza mara tatu.

    Maua yanayosafirishwa kwenda Australia lazima pia ya safishwa katika nchi ya asili, tofauti na hapo awali wakati zilikuwa kizisafishwa huko Australia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako