• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa Iraq atangaza kuwa katibu mkuu wa Jumuiya ya nchi za kiarabu kutembelea Baghdad leo

    (GMT+08:00) 2019-09-03 09:24:56

    Waziri wa mambo ya nje wa Iraq Mohammed al-Hakim amesema katibu mkuu wa Jumuiya ya nchi za Kiarabu Ahmed Aboul-Gheit atatembelea Baghdad leo.

    Al-Hakim amesema mazungumzo kati yake na Bw. Gheit yatahusu mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa umoja huo ambao utafanyika wiki ijayo na kujadili maendeleo yaliyopatikana katika nchi za kiarabu, njia ya kupunguza hali ya wasiwasi katika sehemu ya Ghuba, na mashambulizi mapya yaliyotokea katika baadhi ya nchi kwenye kanda hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako