• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Iran akataa kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani

    (GMT+08:00) 2019-09-03 19:17:41

    Rais Hassan Rouhani wa Iran jana aliondoa uwezekano wa kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani juu ya mpango wa nyuklia wa Iran.

    Akihutubia kwenye kikao cha wazi cha bunge la Iran, rais Rouhani, amesema hawajawahi kutoa uamuzi wa kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani wakati wowote ule. Lakini, amesisitiza kuwa kama Marekani ikiondoa vikwazo dhidi ya Iran, itawezekana kwa nchi hiyo kuhudhuria mazungumzo ya nchi tano pamoja na Ujerumani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako