• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Safaricom yapaisha huduma zake za intaneti

    (GMT+08:00) 2019-09-03 19:24:30
    Kamapuni ya mawasiliano ya Safaricom imeongeza zaidi ya mara mbili wateja wake wa huduma za mtandao yaani home fibre.

    Kampuni hiyo imesema hadi sasa imeunganisha nyumba 297,885.

    Kwenye ripoti yake ya mwaka Safaricom inasema imeongeza kilomita 1,000 za nyaya za kusambaza inaneti ndani ya kipindi cha mwaka mmoja.

    Aidha huduma za intaneti zimefikia biashara 2,400.

    Taakwimu za hivi karibuni kutoka kwa mamlaka ya mawasiliano zinaonesha kuwa Safaricom iliongeza mgao wake wa soko kwa wateja wa intaneti hadi asilimia 31.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako