• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Syria lazuia shambulizi la droni lililofanywa na waasi

    (GMT+08:00) 2019-09-04 09:36:15

    Shirika la habari la Syria SANA limeripoti kuwa, vikosi vya ulinzi wa anga nchini Syria lilizuia shambulizi la ndege zisizo na rubani lililofanywa na waasi dhidi ya kituo cha anga cha Hmeimim kinachoendeshwa na Russia katika mkoa wa Latakia, kaskazini magharibi nchini humo.

    Ripoti hiyo imesema, waasi wa mkoa wa Idlib uliopo kaskazini magharibi mwa Syria ndio walioshambulia kituo hicho, ambacho kimekuwa kikilengwa na ndege zisizo na rubani za waasi wa Syria, ambazo zinaruka kutoka mkoa jirani wa Idlib unaodhibitiwa na waasi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako