• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani yaweka vikwazo dhidi ya Mashirika ya anga ya Iran

    (GMT+08:00) 2019-09-04 09:36:38

    Marekani jana ilitangaza kuwa imeweka vikwazo dhidi ya mashirika ya anga ya Iran kufuatia hali ya wasiwasi.

    Vikwazo hivi vipya vinalenga Idara ya anga ya Iran na taasisi zake mbili za utafiti, ambavyo ni vya mwanzo kati ya vile vitakavyotangazwa na Marekani wakati hali ya wasiwasi inazidi kuongezeka katika Mashariki ya Kati.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako