• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Biashara ya huduma ya China yaongezeka kwa asilimia 3.1 katika miezi 7 iliyopita mwaka huu

  (GMT+08:00) 2019-09-04 18:48:31

  Wizara ya biashara ya China leo imetoa ripoti ikisema, biashara ya huduma ya China ilifikia dola za kimarekani bilioni 436 katika miezi 7 ya mwanzo ya mwaka huu ambayo iliongezeka kwa asilimia 3.2.

  Kwenye taarifa yake wizara hiyo imesema, mauzo ya huduma ya Chinakwa nchi za nje yalizidi dola za kimarekani bilioni 155 na maagizo ya huduma ya China kutoka nchi za nje ilizidi dola za kimarekani bilioni 280.

  Ikiwa tofauti na biashara ya bidhaa, biashara ya huduma inahusu uuzaji na usafirishaji wa bidhaa zisizoshikika zikiwemo huduma za usafirishaji, utalii, mawasiliano ya simu, ujenzi, matangazo, matumizi ya kompyuta na uhasibu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako