• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa Comesa mjini Nairobi

    (GMT+08:00) 2019-09-04 19:54:39

    Mkutano wa sita wa utafiti wa shirika la Comesa unafanyika mjini Nairobi Kenya ambapo zaidi ya washiriki 80 wakiwemo wasomi, wafanya biashara kutoka sekta ya kibinafsi na ya umma wanahudhuria.Wengine wanaohudhuria ni pamoja na watunga sera na wavumbuzi wa sayansi na technolojia kutoka nchi wanachama wa COMESA.Mkutano huo wa wiki moja unalenga kubadilishana mawazo na kuangalia njia za kuimarisha biashara kwa kupitia uvumbuzi kwa nchi wanachama.Baadhi ya tafiti zilizofanywa na baadhi ya nchi zinatarajiwa kuwasilishwa kwenye mkutano huo.Washiriki wanaona kuna haja ya kukumbatia sayansi na technolojia ili kukuza uchumi wa nchi wanachama wa COMESA.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako