• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mtangazaji wa CGTN ahojiwa na wanahabari nchini Marekani

    (GMT+08:00) 2019-09-05 18:41:43

    Mtangazaji wa Televisheni ya Kimataifa ya China ya Shirika Kuu la Utangazaji la China CGTN bibi Liu Xin mjini New York, Marekani amehojiwa na Shirika la CNBC la Marekani kuhusu vita ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili na vurugu za Hong Kong.

    Bibi Liu alipozungumzia vita ya kibiashara amesema, kama serikali ya Marekani ikianzisha mazingira ya kurudisha mazungumzo, China inapenda kufikia makubaliano yanayonufaisha pande zote. Ameongeza kuwa China haina wasiwasi mkubwa juu ya mvutano wa kibiashara kati yake na Marekani, kwani injini kuu ya uchumi wa China ni matumizi ya ndani. Na kuhusu suala la Hong Kong, Bibi Liu amesema ingawa maandamano yanaendelea, lakini hali ya msukosuko imepungua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako