• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 34 wathibitishwa kufariki baada ya moto kulipuka katika boti ya abiria California huku uchunguzi ukiendelea

    (GMT+08:00) 2019-09-06 19:39:40

    Msemaji wa kaunti ya Santa Barbara Gina Depinto amethibitisha kuwa watu 34 wamefariki dunia baada ya moto kulipuka katika boti kwenye pwani ya California Kusini na uchunguzi kuhusu chanzo cha ajali hiyo unafanyika.

    Kwa mujibu wa Jennifer Homendy wa Bodi ya Usalama wa Usafiri ya Taifa ya Marekani, mfumo wa umeme, vifaa vya upigaji picha, betri, kamera na simu zilizowekwa chaji wakati moto ukiwaka, vimetajwa kuwa chanzo cha ajali hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako