• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda yatoa wito wa kufanya majadiliano ili kukomesha mashambulizi dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini

  (GMT+08:00) 2019-09-06 20:17:22

  Uganda imetoa wito wa kufanya majadiliano ili kukomesha mashambulizi yanayoendelea dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini na kusababisha vifo vya watu wengi.

  Mashambulizi hayo yanayolenga wageni nchini Afrika Kusini na biashara zao yanafuatiliwa sana.

  Naibu msemaji wa serikali ya Uganda Bw. Jacob Oulanyah, amesema Uganda ina wasiwasi kwa hali hiyo na serikali zinapaswa kukutana na kuishughulikia. Alionesha kuwa, katika nchi kadhaa kama Nigeria, raia walianza kulipiza kisasi kwa kuchoma na kuharibu biashara zinazomilikiwa na watu wa Afrika Kusini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako