• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maonesho ya elimu ya juu ya China yafanyika nchini Ethiopia

  (GMT+08:00) 2019-09-09 09:39:37

  Maonesho ya mwaka 2019 ya elimu ya juu ya China yamefanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia, ili kujulisha hali maendeleo ya elimu ya juu nchini China na kuhimiza wanafunzi wa Ethiopia kusomea China. Waziri wa sayansi na elimu ya juu wa Ethiopia profesa Hirut Woldemariam amesema, maonesho hayo yatahimiza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika sekta ya nguvukazi, na pia yatanufaisha maendeleo ya uhusiano wa wenzi wa kimkakati kwa pande zote kati ya nchi hizo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako