• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Shirika la ndege la Ethiopia Airline la zindua huduma mtandao  katika ndege  zake

  (GMT+08:00) 2019-09-09 18:22:13
  Shirika la ndege la Ethiopia Airline imetangaza huduma mpya katika ndege zake kwa wateja wao.

  Shirika hilo limetanga huduma ya mtandao ndani ya ndege zake zote.

  Shirika la ndege lilichapisha ujumbe huo katika mitandao ya kijamii kuwa imezindua huduma hiyo ambayo itaanza na ndege A350.

  Waliongeza kuwa huduma hiyo itatumia teknolojia ya kisasa ya satellite kubwa (Ka-band).

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako