• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Kikosi cha timu ya taifa ya riadha ya Kenya kuanza maandalizi ya Doha

    (GMT+08:00) 2019-09-12 08:10:45
    Timu itakayowakilisha Kenya katika riadha za Dunia jijini Doha, Qatar kati ya Septemba 27 na Oktoba 6mwaka huu, inatarajiwa kupiga kambi kwa mazoezi zaidi ya kujifua mnamo Jumapili wiki hii.

    Kikosi kamili kitakachopeperusha bendera ya taifa kitafichuliwa rasmi kesho Ijumaa, muda mfupi baada ya kukamilika kwa mchujo wa kitaifa utakaoendeshwa na Shirikisho la Riadha la Kenya (AK) kuanzia leo uwanjani Nyayo, Nairobi.

    Kwa mujibu wa Barnabas Korir ambaye ni mwenyekiti wa wa kamati wa AK, mahali ambapo kikosi cha Kenya kitapigia kambi kabla ya kufunga safari ya kuelekea Qatar patajulikana pia mwishoni mwa mbio za mchujo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako