• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya upande wa wanawake- VfL Wolfsburg yatetema

    (GMT+08:00) 2019-09-12 08:12:43
    Michuano ya klabu bingwa Ulaya kwa upande wa wanawake iliendelea jana katika viwanja mbalimbali, VfL Wolfsburg imefanya mauaji kwa kuimiminia Mitrovica kwa mabao 10-0, huku Glasgow City ikichomoza na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Chertanovo Moscow, nao Fortuna Hjoerring wameifunga KS Vllaznia goli 1-0, mchezo mwingine ulipigwa baina ya Bayern Munich dhidi ya Kopparbergs/Göteborg na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 2-1, nao Piteaa IF imekubali kipigo cha 1-0 toka kwa Broendby, FC Twente imeibamiza SKN St. Poelten 4-2, huku Juventus ikilala kwa Barcelona 2-0, nao Slavia Prague wameivurumusha Hibernian LFC kwa goli 4-1 na mchezo wa mwisho ulikuwa kati ya Breidablik FC ikichomoka na ushindi wa goli 3-2 dhid ya Sparta Prague.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako