• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vikosi vya Hashd Shaabi vyatungua droni mashariki mwa Iraq

    (GMT+08:00) 2019-09-12 10:17:18

    Vikosi vya wanamgambo vya Hashd Shaabi vimesema vimetungua droni isiyojulikana ambayo ilijaribu kushambulia kwa bomu jeshi la Iraq mkoani Diyala, mashariki mwa nchi hiyo. Taarifa iliyotolewa na vikosi hivyo haikueleza kwa kina kuhusu mabaki ya droni hiyo au kuitambua droni hiyo ni ya nani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako