• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Leopards ya DRC yakubali kipigo toka kwa Eclat Sport mechi ya kujipima nguvu

  (GMT+08:00) 2019-09-16 09:02:06
  Timu ya taifa ya wanawake ya DRC (The Leopards) imekubali kipigo cha mabao 3-0 toka kwa Eclat Spoti, kwenye mchezo wa kirafiki ikiwa DRC inajiandaa kwa michuano ya kufuzu Olimpiki ya 2020 itakayofanyika jijini Tokyo Japan.

  Mchezo huo ulipigwa uwanja wa Martyrs jijini Kinshasa jana, wadau wa soka nchini DRC wametoa maoni yao baada ya mchezo huo kuwa, bado timu hiyo ya taifa ya wanawake inakazi kubwa ya kurekebisha makosa kabla ya kukutana na timu ya taifa ya Cameroon Oktoba 4 jijini Younde Cameroon katika mchezo wa kufuzu michuano ya Olimpiki.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako