• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • JUDO: Wacheza Judo wa Tanzania wamaliza mafunzo nchini Japan

  (GMT+08:00) 2019-09-17 09:30:01

  Chama cha Judo Tanzania (JATA) kimesema wachezaji wawili wa Tanzania bara ni miongoni mwa nyota walioweka kambi jijini Tokyo Japan kwa ajili ya mafunzo maalum ya ya wiki mbili ya mchezo huo wamemaliza salama.

  Wachezaji hao ni Andrew Thomas na Thomas Mwenda wanatarajia kurejea nchini Tanzania leo, rais wa JATA Hamis Mgowe amesema mafunzo hayo yametoa mwanga kwa wachezaji hao kutokana na ukubwa na ubora wake, na wanatarajia wakirejea nchini Tanzania, watawafundisha wachezaji wenzao. Kwenye mafunzo hayo, wamekutana na mabingwa mbalimbali wa Judo na makocha wenye viwango bora zaidi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako