• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • VOLIBOLI: GSU, Pipeline mabingwa wa voliboli Kenya.

    (GMT+08:00) 2019-09-19 09:01:10

    Timu ya Kenya General Service Unit (GSU) na Kenya Pipeline zilitandaza voliboli safi dhidi ya wapinzani wao na kutawazwa wafalme na malkia katika mashindano ya kuwania taji la mchezo wa voliboli yaliyofanyika mjini Nanyuki, Kaunti ya Laikipia.

    Pipeline ilitwaa taji hilo baada ya kuwatandika mahasimu wao Kenya Prisons seti 3-2 (25-23, 25-23, 23-25, 18-25, 15-07) katika fainali.

    Katika fainali ya wanaume, GSU ilikandamiza mahasimu wao Kenya Prisons kwa seti 3-1 (25-15, 23-25, 26-24, 25-16).

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako