• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Marekani atangaza kumteua Robert O'Brien kuwa msaidizi wa mambo ya usalama wa rais

    (GMT+08:00) 2019-09-19 09:47:13

    Rais Donald Trump wa Marekani jana alitangaza kumteua Robert O'Brien aliyeshughulikia mambo ya mateka kwenye Wizara ya mambo ya nje, kuwa msaidizi wa mambo ya usalama wa taifa wa rais.

    Rais Trump alipotangaza uteuzi huo kupitia mtandao wa twitter ameeleza kuwa, atashirikiana na O'Brien kufanya kazi na kuamini kuwa atashinda wadhifa huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako