• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KPLC yatangaza kushuka kwa faida

    (GMT+08:00) 2019-09-20 20:00:56

    Shirika la kusambaza umeme nchini Kenya KPLC limetangaza kushuka kwa faida kwa miaka miwili mfululizo.

    KPLC imesema mapato kwa mwaka unaomalizika Juni mwaka huu yatakuwa zaidi ya asilimia 25 chini ya shilingi bilioni 1.92 kama faida iliyoachapishwa katika mwaka wa fedha uliomalizika juni mwaka jana.Kaimu katibu mtendaji wa kampuni hiyo Jared Othieno amesema kupungua huko kumetokana na gharama za kuzalisha umeme kutoka kwa nishati endelevu.

    Amesema mapato yameongezeka lakini gharama zimeongezeka jambo ambalo limepunguza mapato ya shirika hilo. Mwaka jana, KPLC ilitoa onyo la kushuka kwa mapato ya shirika hilo kwa asilimia 63.7 kutoka shilingi bilioni 5.3 zilizotangazwa mwaka wa 2017.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako