• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • TALA yasitisha oparesheni nchini Tanzania

    (GMT+08:00) 2019-09-20 20:01:11

    Kampuni ya kutoa huduma za mikopo mitandaoni Tala limetangaza mipango ya kusitisha opraresheni zake nchini Tanzania. Hata hivyo shirika hilo lenye makao makuu nchini Marekani halijatoa sababu za kuchukua hatua hiyo lakini limeahidi kutoa taarifa zaidi katika siku za baadae. Tala ambayo hivi sasa inaendesha shughuli zake nchini Kenya, Mexico, India na Ufilipino imekuwa ikitoa mikopo haswa kwa wafanya biashara waliojiajiri kwa haraka kuliko mashirika mengine ya mikopo na hivi sasa ina zaidi ya wateja milioni 27 kote duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako