• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania: Serikali imefunua Mfumo wa Ununuzi wa korosho mtandaoni

  (GMT+08:00) 2019-09-23 18:57:29

  Wakulima wa korosho Tanzania wanasababu ya kutabasamu baada ya serikali kufungua mfumo wa wazi wa minada ya bidhaa kutumika katika msimu wa 2019/20 na wanunuzi sasa wanahitajika kufanya biashara mtandaoni, ambapo wakulima watapewa fursa ya kuchagua mzabuni mkubwa zaidi.

  Jukwaa la mtandao, litaunganisha wakulima, wanunuzi na wadhibiti na wazalishaji wataweza kuona hali ya soko kutoka popote walipo.

  TMX ni ubadilishanaji wa bidhaa nchini Tanzania ambao ilianzishwa kusaidia wakulima kuweza kupata soko la ndani na la kimataifa yenye bei nzuri katika uuzaji wa mazao yao.

  Wanunuzi wa ndani na wa nje ya nchi watahitajika kujiandikisha na Bodi ya korosho Tanzania.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako