• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Mawaziri wakutana na wawekezaji na wafanyabiashara mkoani Ruvuma

    (GMT+08:00) 2019-09-24 16:56:08
    Mawaziri 12 wa Serikali ya Tanzania wamehudhuria mkutano wa wawekezaji na wafanyabiashara mkoani Ruvuma.

    Lengo la mkutano huo ni kusikiliza kero za wawekezaji na wafanyabiashara na kuzitafutia ufumbuzi ili kutengeneza mazingira ya kuwekeza zaidi na kukuza uchumi.

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu –Uwekezaji, Angellah Kairuki alisema katika kutekeleza dhamira ya ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi, Serikali Kuu ngazi ya za Ofisi ya Rais Tamisemi na ofisi ya waziri mkuu pamoja na wizara za kisekta wamepanga mkutano huo.

    Alisema mikutano hiyo ya mashauriano kati ya Serikali na sekta binafsi ambayo itafanyika ngazi za mikoa nchi nzima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako