• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yasema meli ya mafuta ya Uingereza iliyoachiwa bado ipo katika bandari ya Iran

    (GMT+08:00) 2019-09-25 09:44:29

    Meli ya mafuta ya Uingereza Stena Impero iliyoachiwa huru na Iran bado haijaondoka katika bandari ya Iran. Shirika la habari la Iran ISNA limemnukuu mkuu wa shirika la bandari na uchukuzi baharini la Iran Mohammad Rastad akisema meli hiyo inaweza kuondoka kwenye bahari ya Iran wakati wowote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako