• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mahakama Kuu ya Uingereza yasema uamuzi wa waziri mkuu wa kuahirisha bunge ni kinyume cha sheria

    (GMT+08:00) 2019-09-25 09:44:52

    Mahakama Kuu ya Uingereza imeamua kuwa uamuzi wa waziri mkuu Boris Johnson wa kuahirisha bunge kwa wiki tano unakwenda kinyume na sheria. Uamuzi huo wa kauli moja uliotolewa na majaji 11 wa Mahakama Kuu mjini London, unamaanisha kuwa bunge linaweza kurejea tena.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako