• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani kupeleka askari na makombora ya kujilinda nchini Saudi Arabia

    (GMT+08:00) 2019-09-27 09:18:20
    Marekani itapeleka askari 200 na vifaa vya makombora ya kujilinda nchini Saudi Arabia baadha ya kushambuliwa kwa viwanda vya mafuta vya nchi hiyo. Hayo yamesemwa na waziri wa ulinzi wa Marekani Mark Esper. Amesema hatua hiyo itaongeza uwezo wa Saudi Arabia wa kulinda miundombinu yake muhimu ya kijeshi na ya kiraia. Pia waziri huyo ameidhinisha kuweka nguvu zaidi za Marekani nchini Saudi Arabia ikiwemo vifaa viwili vya kurusha makombora ya Patriot na mfumo wa ulinzi wa THAAD.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako