• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China apongeza timu ya wanawake ya China kwa kushinda kombe la dunia

    (GMT+08:00) 2019-09-29 21:01:43

    Rais Xi Jinping wa China ametoa salamu za pongezi kwa wachezaji wote wanawake wa timu ya mpira wa wavu ya China kutokana na kushinda kombe la dunia la mpira wa wavu kwa mwaka huu.

    Rais Xi amewataka waendelee na juhudi zao, kutojivuna na kubweteka, na kupata mafanikio zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako