• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tamasha kubwa la kuadhimisha miaka 70 ya kuasisiwa kwa Jamhuri ya Watu wa China lafanyika Beijing

    (GMT+08:00) 2019-09-30 08:23:03

    Tamasha kubwa la kuadhimisha miaka 70 ya kuasisiwa kwa Jamhuri ya Watu wa China lilifanyika jana Jumapili mjini Beijing, ambapo viongozi wa chama na serikali ya China akiwemo rais Xi Jinping na waziri mkuu Li Keqiang, walitazama tamasha hilo wakiwa pamoja na watazamaji zaidi ya elfu nne.

    Tamasha hilo lenye sehemu nne za ochestra, nyimbo na dansi lilikumbusha historia ya maendeleo ya China tangu ilipoasisiwa mwaka 1949, na kulitakia taifa la China listawi zaidi katika siku zijazo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako