• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuadhimisha miaka 70 tangu kuasisiwa kwa Jamhuri ya Watu wa China

    (GMT+08:00) 2019-09-30 08:35:01

    Sherehe ya maadhinisho ya miaka 70 tangu Jamhuri ya watu wa China kuanzishwa itafanyika kesho asubuhi kwenye Uwanja wa Tian'anmen, katikati ya mji wa Beijing. Gwaride la kijeshi na gwaride la umma zitafanyika baada ya Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, ambaye pia ni rais wa China na katibu mkuu wa kamati kuu ya Kijeshi Xi Jinping kutoa hotuba.

    Vituo vya redio, televisheni na matovuti ya habari vitatangaza moja kwa moja sherehe hizo, gwaride na maonyesho ya umma.

    Habari zinasema, kesho jioni, maonyesho mbalimbali ya kusherehekea siku ya taifa ya China yatafanyika kwenye Uwanja wa Tian'anmen.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako