• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran kujibu kithabiti kitendo chochote cha uchokozi

    (GMT+08:00) 2019-09-30 09:43:43

    Kituo cha Televisheni cha Iran Press TV kimesema, waziri wa ulinzi wa nchi hiyo Bw. Amir Hatami amesema, Iran itajibu kithabiti kitendo chochote cha uchokozi dhidi ya nchi hiyo.

    Bw. Hatami amesema, hivi sasa Iran ina uwezo wa kukidhi mahitaji yake yote ya ulinzi, na kwamba mapambano dhidi ya ugaidi na kuangushwa kwa ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyovamia nchi hiyo ni thibitisho la uwezo wa Iran wa kujilinda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako