• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yakaribisha juhudi za usuluhishi ili kufikia maafikiano na Saudi Arabia

    (GMT+08:00) 2019-09-30 19:26:47

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Bw. Abbas Mousavi leo amesema Iran inakaribisha juhudi zote za usuluhishi ili kufikia maafikiano na Saudi Arabia.

    Bw. Mousavi amesema siku zote kuna fursa za kutatua masuala kwa njia ya mazungumzo. Pia amesema Saudi Arabia iko tayari kusuluhisha hali ya wasiwasi kwenye uhusiano kati yake na Iran.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako