Licha ya utendaji kazi mzuri, hasara hiyo iliongezeka, kampuni ya Airtel nchini Tanzania jumla ya hasara yake ilifikia dola milioni 436.6.
Mapato ya kampuni hiyo ilifikia dola milioni 202.6 mwaka wa 2018 kutoka dola milioni 212.9 mwaka uliopita, ripoti yake ya kila mwaka inaonyesha.
Uganda ndio nchi pekee Afrika Mashariki iliyotengeneza faida nzuri katika biashara ya kampuni ya mwasiliano mwaka 2018.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |