• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kundi la Houthi la Yemen lawaachia huru wafungwa 290 wa vita

    (GMT+08:00) 2019-10-01 09:12:55

    Taarifa kutoka Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu ICRC imesema, Kundi la Houthi la Yemen limewaachia huru wafungwa 290, wakiwemo walionusurika 42 kwenye shambulizi lililotokea mwezi huu huko Dhamar. ICRC imesema kuachiliwa huru kwa wafungwa hao kumefanyika kwa msaada wa ICRC na Umoja wa Mataifa, kufuatia ombi kutoka kwa Kamati ya taifa inayoshughulikia mambo ya magereza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako