• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maandalizi ya mashindano ya magari ya Safari Rally Afrika Mashariki yaelekea kukamilika

    (GMT+08:00) 2019-10-01 10:05:28

    Maandalizi ya mashindano ya magari ya Safari Rally Afrika Mashariki mwaka 2019 yamefikia patamu huku mashindano hayo yakitarajiwa kuanza mwezi ujao. Mashindano hayo ya siku tisa, yanayofadhiliwa na Safaricom, yataanzia Mombasa kabla ya kutandaza mbawa zake hadi Kenya na Tanzania. Kiongozi wa Safari Rally Afrika Mashariki Raju Chaggar, amesema wana matarajio makubwa mwaka huu kutokana na mambo mengi yakiwemo kuingizwa kwa timu mpya yenye washiriki wa ndani ambao wana uelewa na uzoefu wa magari na kubwa zaidi ni kuelewa maeneo ya mashindano yatakapopitia jambo ambalo litapunguza nafasi ya kutumia maeneo yenye mafuriko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako