• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ni lazima tushikilie uongozi wa Chama cha Kikomunisti kwenye njia ya kusonga mbele ya China

    (GMT+08:00) 2019-10-01 11:10:50

    Kiongozi Mkuu wa China Xi Jinping leo amesisitiza kuwa, kwenye njia ya kusonga mbele ya China, ni lazima tushikilie uongozi wa Chama cha Kikomunisti cha China, tushikilie hadhi ya wananchi kuwa mhimili, tushikilie njia ya Ujamaa wenye umaalumu wa China, tutekeleze kwa pande zote nadharia ya kimsingi, msimamo wa kimsingi na mikakati ya kimsingi ya Chama cha Kikomunisti cha China, tukidhi siku hadi siku matarajio ya wananchi juu ya maisha mazuri, na tufanikishe mambo mapya ya kihistoria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako