• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping atoa wito kuwataka wananchi wafanye juhudi kwa ajili ya kutimiza muungano kamili wa taifa

    (GMT+08:00) 2019-10-01 11:11:23

    Rais Xi Jinping wa China amesisitiza kuwa, China inapaswa kushikilia mwongozo wa "muungano wa amani, nchi moja na mifumo miwili", kudumisha ustawi na utulivu wa muda mrefu wa Hongkong na Macao, na kuhimiza maendeleo ya amani ya uhusiano kati ya kando mbili za mlangobahari wa Taiwan. Ametoa wito kuwataka wananchi wote wa Taifa la China waendelee na juhudi kwa ajili ya kutimiza muungano kamili wa taifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako