• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China lazima ishikilie njia ya kujiendeleza kwa amani

    (GMT+08:00) 2019-10-01 11:11:48

    Rais Xi Jinping amesisitiza kuwa, kwenye njia yake ya kusonga mbele, China lazima ishikilie njia ya kujiendeleza kwa amani, kufuata mkakati wa kufungua mlango unaosaidiana na kunufaishana, kuendelea kushirikiana na watu wa nchi mbalimbali duniani katika kuhimiza kwa pamoja ujenzi wa jumuiya yenye mustakabali wa pamoja wa binadamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako