Kufuatia onyo hilo Waziri wa fedha nchini humo Bwalya Ng'andu amesemaa Zambia itaahirisha na kufuta mikopo kadhaa iliyopangwa.
Zambia imetangaza bajeti yake ya mwaka 2019/20 ya dola bilioni 8 ambayo ni asilimia 32 ya pato lake la taifa.
Kulingana na taakwimu za IMF deni la nje la Zambia lilifikia dola bilioni 10 kufikia Juni 2019.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |