• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya vifo vya watu kwenye Bahari ya Mediterranean kwa mwaka huu yakaribia 1000

    (GMT+08:00) 2019-10-02 08:33:06

    Shirika la Kimataifa la Uhamiaji IOM limesema, misiba mfululizo ya uhamiaji iliyotokea kwenye Bahari ya Mediterania imesababisha vifo vya watu 994. Idadi ya vifo vya watu itakuwa zaidi 1,000, na mwaka 2019 utakuwa mwaka wa sita kwa IOM kurekodi idadi ya vifo vya watu zaidi ya 1,000 kwenye eneo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako