• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Iran atoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kupinga vitendo vya upande mmoja vinavyofanywa na Marekani

    (GMT+08:00) 2019-10-02 09:02:03

    Rais wa Iran Hassan Rouhani amesema jumuiya ya kimataifa inatakiwa kupinga vitendo vya upande mmoja vinavyofanywa na Marekani.

    Rais Rouhani amesema hayo kwenye mkutano wa viongozi waandamizi wa kamati ya uchumi ya Ulaya na Asia kwenye Umoja wa uchumi wa Ulaya na Asia uliofanyika mjini Yerevan nchini Armenia, akiongeza kuwa nchi zote zinatakiwa kupinga vitendo vya upande mmoja na kutekeleza wajibu wa kimataifa wa kulinda amani, usalama, utulivu na utaratibu wa dunia, na chini ya hali yenye utatanishi ya kimataifa ya sasa, na kuhimiza ushirikiano wa pande nyingi ni chaguo sahihi la kipekee.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako