• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gharama ya kuegesha gari mjini itaongezeka mara mbili

    (GMT+08:00) 2019-10-02 19:42:45

    Gharama ya kuegesha gari mjini itaongezeka mara mbili kutoka Sh200 hadi Sh400 baada ya Gavana Mike Sonko kukubaliana na Muswada wa Kaunti ya Jiji la Nairobi, 2019.

    Muswada huu ulipitishwa na mkutano wa kaunti wiki iliyopita.

    Hivi sasa, madereva wanalipa Sh200 kuegesha gari ndani na nje mjini.

    Afisi ya serikali ya kaunti ya nairibi ilikusanya sh bilioni 1.8 mwaka 2017-2018 kutoka kwa maegesho dhidi ya ile iliyolengwa ambayo ni sh bilioni 2.5

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako