Pakiti ya kilo mbili sasa inauzwa kwa Sh210 kwa wastani kutoka Sh230 mwezi Julai.
Bodi ya Sukari imesema bei inayostahili inapaswa kuwa Sh205 kwa pakiti ya kilo mbili.
Mkuu wa kitengo cha sukari, Solomon Odera, amesema walikuwa wameongeza uagizaji ili kufidia uzalishaji mdogo wa ndani.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |