• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Uingereza asisitiza kuwa Uingereza itajitoa Umoja wa Ulaya Oktoba 31

    (GMT+08:00) 2019-10-03 08:40:54

    Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson ametangaza kuwa Uingereza itajitoa Umoja wa Ulaya tarehe 31 Oktoba bila ya makubaliano yoyote, ikiwa mapendekezo yake ya mwisho yaliyowasilishwa kwenye Umoja wa Ulaya yatakataliwa. Bw. Johnson amesisitiza kuwa mapendekezo yaliyowasilishwa kwenye Umoja wa Ulaya hayatamaanisha kutakuwa na ukaguzi wowote kwenye au karibu na mpaka kati ya Ireland ya Kaskazini na jirani yake Jamhuri ya Ireland.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako