• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapata maendeleo makubwa katika mawasiliano ya barabara

    (GMT+08:00) 2019-10-03 17:10:43

    China imepata maendeleo makubwa katika sekta ya miundombinu ya barabara katika miaka 70 iliyopita tangu kuasisiwa kwa Jamhuri ya Watu wa China.

    China imeweka rekodi nyingi ya dunia katika uchukuzi na mawasiliano ya barabara, ikiwa ni pamoja na mtandao kamili wa reli ya mwendo kasi, urefu wa barabara kuu, bandari, daraja refu linalounganisha miji ya Hongkong, Zhuhai na Macao, na uwanja wa ndege wa Daxing. Wakati huohuo, China pia imeshika nafasi ya kwanza duniani kwa ukubwa wa huduma ya usambazaji wa vifurushi vya haraka.

    Tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China, haswa baada ya kutekelezwa kwa sera ya mageuzi na kufungua mlango, China imeshikilia mawazo ya kutoa kipaumbele kwa mawasiliano ya barabara katika maendeleo ya uchumi na jamii, na kupata mafanikio makubwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako