• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China na mfalme wa Ubelgiji wabadilishana pongezi kwa kuzaliwa kwa Panda mapacha

    (GMT+08:00) 2019-10-03 18:12:09

    Rais Xi Jinping wa China na mfalme Philippe wa Ubelgiji wamebadilishana pongezi kwa kuzaliwa kwa Panda mapacha mwezi Agosti huko Ubelgiji.

    Rais Xi amesema katika pongezi wake kuwa, anatilia maanani sana maendeleo ya uhusiano kati ya China na Ubelgiji, na anapenda kufanya juhudi pamoja na Mfalme Philippe kuinua uhusiano wa kiwenzi na ushirikiano kwenye kiwango cha juu zaidi.

    Kwa upande wake, Mfalme Philippe amepongeza ushirikiano wa utulivu na China katika nyanja mbalimbali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako